THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA

TANZANIA NURSING AND MIDWIFERY COUNCIL

ADHABU DHIDI YA WAUGUZI, WAKUNGA WALIOKIUKA MAADILI YA KITAALUMA NCHINI:

ADHABU DHIDI YA WAUGUZI, WAKUNGA WALIOKIUKA MAADILI YA KITAALUMA NCHINI:

Gusa Hapa Kuisoma Taarifa kwa kina

super-admin
On February 22, 2026
MATOKEO YA MTIHANI WA USAJILI NA LESENI ULIOFANYIKA TAREHE 19.12.2025

MATOKEO YA MTIHANI WA USAJILI NA LESENI ULIOFANYIKA TAREHE 19.12.2025

Msajili wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) anaufahamisha umma kwamba kikao cha Baraza cha (225) kilichoketi leo 11 Februari 2026 kwa mujibu wa Sheria ya Uuguzi na Ukunga “The Nursing and Midwifery Act,

super-admin
On February 11, 2026
WAJUMBE WA BARAZA TNMC KATIKA KIKAO KUSIKILIZA TUHUMA ZA KITAALUMA

WAJUMBE WA BARAZA TNMC KATIKA KIKAO KUSIKILIZA TUHUMA ZA KITAALUMA

Wajumbe wa Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC) wakiongozwa na Mwenyekiti wake Prof. Lilian Msele Muuguzi Mbobezi, leo 10 February 2026 wamekutana Jijini Dodoma katika ukumbi mdogo wa mikutano wa Jakaya kwa ajili ya

super-admin
On February 10, 2026
NAMBA ZA MTIHANI WA USAJILI NA LESENI  19.12.2025

NAMBA ZA MTIHANI WA USAJILI NA LESENI 19.12.2025

Zifuatazo ni namba za Mtihani wa kitaifa wa Usajili na Leseni utakaofanyika 19.12.2025 katika Vituo mbalimbali hapa nchi tafadhari kila Kada ina majina na Vituo husika Tazama Namba yako sasa. 1: BACHELOR OF SCIENCE IN

super-admin
On December 15, 2025
Uncategorized
super-admin

TNMC Kuanzisha Kituo Cha Mawasiliano , Kuboresha Utoaji Huduma Kwa Mteja.

SASA KUTUMIA NAMBA MOJA YA MAWASILIANO. Katika kuboresha huduma kwa mteja, Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania TNMC linaendelea na mchakato wa kunzisha kituo cha mawasiliano na wadau wake hususani wauguzi na wakunga nchini na duniani kwa ujmla, machakato ambao unatarajiwa kukamilika na kuanza kutumika mapema mwezi huu Oktoba 2024.

Read More »
Uncategorized
super-admin

TNMC Yashiriki Mkutano wa ECSACON Lesotho

TNMC ikiwakilishwa na Msajili Bi. Agnes Mtawa, pamoja na maafisa waandamizi  ambao ni Salome Kassanga na Irene Chilewa, imeshiriki Mkutano wa kimataifa wa kisayansi unaoratibiwa na jumuiya ya ECSACON  nchini Lesotho  kuanzia tarehe 11 hadi 13 Septemba 2024 kwa lengo la kubadilishana  elimu, uzoefu na kuboresha utoaji huduma katika sekta

Read More »
Uncategorized
super-admin

Wizara ya Afya na Taasisi zake zatwaa Tuzo Maonesho ya Nanenane.

Wizara ya Afya na taasisi zake imetwaa Tuzo ya Wizara Mtambuka kwa kushika nafasi ya Tatu katika Maonesho Kimataifa ya Nane Nane 2024 Jijini Dodoma. Tuzo hiyo ambayo imetolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan imekabidhiwa siku moja kabla yakukamilika kwa Maonesho hayo

Read More »